Sequels

JOY PART II

The streets became my new home, how I never got pregnant or contracted HIV during that time is still a mystery, God was surely by my side despite all I had done. Ugaza ilikua ishaanza kuniita aki, so tulikua group ya mtu 6, 2 ladies na 4 gentleman, form ilikua tuingie club , mi na the other lady tuzubaishe wanaume, kuwawekea mchele then maboys kuwapora afterwards.

All I needed for survival was buy flying horse, at least chupa 3, jaba/miraa plus njugu, chavis na weed yangu. Hii game ilikua risky but I was not ready to stop, yaani nilikam nikachapa style ingine mbya hadi mfupa za shingo zikiaanza kushow but sasa ningedu? , mtaa niliogopa kurudi juu sikuchujwa, nilitoka mwenyewe, so ilibidi tu nimeendelea na hiyo life. It just reached a point I could not take it anymore, tulikua tushajulikana na tabia zetu za kuwekeana mchele so tukawekewa wanted.

I just had two options left, to die a horrible death in the streets ama kurudi home. Kuacha hii raia pia ilikua ni noma coz walikua wanaona ukiwaondokea utawaseti so I just asked God to protect me, na venye tu nilikua nimeparara nikarudi mtaani. Me for the first time I saw my dad shedding tears aki, I have never seen him break down the way he did, when he finally managed to talk aliniambia tu, ” I’m glad you are home, ingia uoge then ukule, huko mahali ulikua ni kama haukua unapewa chakula.” Mathe naye aliingia kwa maombi tu sasa, enyewe nilitesa hao watu.

Masimu tu zilikua zinapigwa, “Joyce oduogo, wantie kode eot ka, Nyasaye ber.”

I had wasted a whole term aki juu ya ujinga tu, but haidhuru, at least I was home now and nothing else mattered. After siku mbili hivi nimetulia tu Kwa hao then mathe akaingia na Jadolo/mwombaji fulani kutoka ocha, akaniambia tu huyu mtu ndio atakusaidia ndio hizo mashetani zimekuingia zitoke na ziende kabisa.

Who was I to refuse, if indeed I was possessed then yes I just needed help by the Jadolo. So hii maombi ilifaa ifanyike kwetu then nilifaa niandamane with the Jadolo hadi place fulani ya maombi sides za Kano.

Hawa watu hua wanaomba na style zingine tu funny aki, they use these coloured candles plus vitambaa, they say that different colours represent different angles, Angel Michael ndo tuliambiwa anakuanga mkali sana.

Kufikia 3am this man of God did his thing, kuna time hadi alipuliza moto juu ya kichwa yangu and nikajua enyewe I have been set free. Mi kuna time hadi alitoa some very funny things from my tummy and mkono , mahali zilitoka ye tu ndio alijua.

All the necessary prayers were done na he assured mum that nitakua sawa. Kuna madawa pia alinichemshia just to help with my addiction.Nilirudi chuo, and I sat for my KCSE exams and I managed to score a C plain, dad alifurahi yake yote na akaniambia ye ako ready kuhustle bora mi nisome, I’m the first born so I just had to make up for my mistakes aki.

Kidogo kidogo nikaorganisiwa job pale Inda, ndio nisave doo yangu kiasi then mzae anipige boost ndio niingie College. In that process nikameet sugar daddy mwingine mwenye enyewe alifanya nikajua maneno ya mapenzi. I was 19 na alikua 40 na sikua na issue coz alikua anajiweza na hakuna kitu ningemweitisha na aninyime. He understood me with all my insecurities, he just made me forget about the rape and he assured me that he’ll always protect me, alikua tu patient enough na mimi hadi day nilikua ready then boom tukasoma BBI.

Game yake ilikua juu na sasa ilibaki ni mimi ndio nilikua namtafuta sasa, so any time nilikua off na ye yuko off we’d get a place anagonga vitu then kila mtu anaeda zake, the guy was married by the way. So hii mchezo ikaendelea hivi for a while, kidogo kidogo periods zimeenda missing then kuingia hosi kupimwa, mimba ndio hiyo😂😂, kuambia mzee akaenda missing na akanishow whatever we had imeisha na nisiwai mtafuta tena. Hapo ndio sasa nilifeel life yangu itaisha sasa..

The thought of me being a single mum ilikataa kuniingia kabisa na abortion haikua kwa options zangu pia, I just had to act very fast. It happened that kuna msee fulani let’s call him Fred ,wa job alikua ameniandama for long, tulikua tunachat but sikua nimemfungulia roho, he was my only way out of this situation.

I texted him nikamshow nimefikiria maneno yake na nimekubali kukua mrembo wake. Ile mbio nilipeleka huyo mtu, ni Mungu tu anajua. So after mwezi nikamshow periods zimechelewa, na nashuku niko na mimba. Jamaa alifurahi yake yote na akanishow tu niconfirm then nimshow Majibu. Later in the day I called him na nikamshow mimba iko ndani na ile furaha msee alikua nayo yaani nikajua hapo stress moja imeisha, I just had to maintain the lie that I gave birth a bit early. So hata venye nilianza clinic nilisema tu sikumbuki niliona periods lini with claims of having an irregular cycle.

Home nililay kabisa and at 6 months venye ball ilianza kushow ndio nikaopen up to mum, I told her the whole truth and her statement was, ” baba mtoto ni Yule anamlea.” My dad alikula nare na mimi mbaya, disappointment was written all over his face but hakuna tu kitu angefanya.

In January, 2014 i gave birth to a very handsome baby boy, the exact copy of his dad, mtoi alikua mweupe design ingine noma, the moment this guy held him alisema tu huyu mtoto ni wetu, amechukua tu rangi ya watu wao, hapo nikaponea kabisa, we named my son after my dad na tukasema second born wetu ndio tutamwita jina ya mamake, lazima tu angekua msichana.

The guy played his role very well, my dad alikua ashampea top ranking na angekam anytime kuangalia boy boy wake na baby mama. Mapenzi ilishika hadi msee akahamia mtaa yetu ndio tu asikue mbali na sisi. Vitu zilikua tu sawa hadi day fulani tulivurugana na we ended up partying ways, wazazi walijaribu kutubongesha but ilishindikana kabisa, tulikua tunawork place moja but tunapitana kama strangers. Ikabaki nimesonga mbele na hii maisha.

Met another guy, Habib, tukaanza safari ya mapenzi tena, one thing led to another and then boom, Joy is pregnant again, Otis ilibidi nimetafuta tu Fred tena, me I begged for forgiveness kabisa, mi hadi nililia na nikainitiate make up sex na hakuresist, na after one month tena nikamshow we are expecting our second child. So Habib anajua nimembebea mtoto na Fred pia anajua niko na mtoi wake….

Confusion had taken over, sikujua nitaambia wazazi nini and there is no way I was going to come clean to these two men. I really loved Habib, the only problem is that one hakua na job and two hakua na keja yake. Najua unashindwa aje sasa, my Habib alikua hawa wasee wa kukam, aligrow ocha sa ndio alikua amekam kuanza kusaka namna hii life, he met with some friends na wakamintroduce kwa job za umakanga sa tulimeet kwa mat. Keja pia haikua yake, alikua anastay na pal wake na since love is blind, I did mind, nilijua tutaanza tu from chini then tuendelee pole pole…

I thank God that hua mimba yangu haikua na any complications na pia ilikua imejificha tu kabisa. But kufikia the 5th month, nikaanza mashida tu na mimba so ikabidi nimove in na Fred. Habib alikua squatter bado but I had so much faith in him na nikajiambia one day tutakua pamoja as one big family.

Habib already knew that i had a son mwenye alitemwa na budake na he didn’t have a problem with that so nikajua tu form ikijipa, mimi na watoi wangu na Habib tutakua kimoja.Sa hapa mi nacheza kama mimi, Fred came home, I was officially handed over to him. This was my only way out, juu bado sikua nimesema niko na mimba ya pili, nilicheza safe kabisa yaani, mi hadi I used to hold my stomach ndio nisipee msee yeyote room ya kunisuspect.

Jadolo was informed naoleka but he was totally against the idea, all he said was, “Nyathini no dak gi ng’at no, but nitie lamo madhi timo ne Kae to gik moko biro bet masawa”. He asked for 2000 Bob abuy vitu za kufanya maombi na mimi nikampea coz kuna venye I was desperate and I didn’t want anything to go wrong before my baby daddy a settle poa.

The first night I spent at Fred’s house as his wife was not a happy one, aki ile kulia nililia Ortis.

Facebook Comments

Leave a Reply